Muamuzi

Mola ndiye muamuzi, kumlaumu mi siwezi (God is judge, I shall not question Him)

 

Kuomba sikupata (To ask is not to receive)

Mungu akipenda atakupa (God shall grant as He pleases)

Lakini kupata kwanza omba (But to receive you must first ask)

Na Mungu akipenda atakupa (And if God wills, He shall grant)